Nina
rafiki yangu ameolewa miaka 5 iliyopita kabla ya kuolewa alikuwa na
mtoto mmoja,shida aliyonayo ni kwamba toka aingie kwenye ndoa mume wake
hasimamishi kabisa,hivyo hutumia ulimi na kuuingiza kwenye uke ili
amridhishe mkewe.
kipindi cha mwanzo mke alivyomuuliza kama anatatizo akadai ni mawazo tu
kwan akili yake asilimia kubwa inawaza amuandaliaje mkewe maisha.
Mke
akaendelea kuvumilia sasa imefikia hatua kadai kachoka upande wa kiume
hawamtaki wanadai hazai anajaza choo,hilo halimuumiz sana ingawa
anapenda kuzaa ila kubwa linalomshinda kuendelea na ndoa ni kutopata
haki yake ya msingi tendo la ndoa.
No comments:
Post a Comment