Friday, 7 February 2014

HUYU NDIYE MWANAMKE MJANJA MWENYE MVUTO NA MKWANJA MREFU BONGO














Mwamvita Makamba, Ni mtoto wa Muheshima Makamba aliyekuwa mkuu wa Mkoa Wa Dar es salaam , na baadae katibu wa CCM kitaifa, Mwamvita ana Masters ya  Politics and International Relations na kwasasa ni Chief Officer: Marketing & Corporate Affairs kampuni ya Vodacom Tanzania. 

Tujifunze kwa huyu dada..

No comments:

Post a Comment