Monday, 10 February 2014

MKE WAKO/MCHUMBA ANA INYE KAMA HII?TENA KUFURI LIMESHALOA HIVI



Maisha yanabadilika kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ikiwa na umri wa mtu kubadilika .Lakini kwa kizazi cha sasa watu wamejisahau na kuona maisha wanayoishi leo ndio maisha watakayoishi hata kesho kitu ambacho kinafanya tuone vijana wengi kukosa adabu na heshima kwa miaka ya sasa leo nataka nitoe maoni kidogo kuhusu suala la kupiga picha za utupu

No comments:

Post a Comment