MSANII kutoka jiji la Mwanza ambaye alipata umaarufu kupitia Shindano la BSS amevunja ukimya na kusema mambo mengi juu ya Msanii wa Filamu ambaye wanatoka wote jiji moja la Mwanza ambaye anajulikana kwa jina la Suzane Michael.
Kala alifunguka hayo na kusema kuwa "Nawashangaa sana hawa madada zetu yani wao wanaona kujiachia ndiyo wataishi mjini, huyu dada mimi namfanhamu na sikutegemea kama ataweza kupiga picha za hivi na kuziweka mtandaoni yani kwa hiki kitendo ameuvuruga moyo wangu na kuuchafua kabisaaaa" alisema Kala
Read more: http://habarizetuleo.blogspot.com/2014/02/moyo-wa-kala-jeremiah-wateswa-na-msanii.html#ixzz2sfaKw1kG
No comments:
Post a Comment